top of page
Search
Kuimarisha Kinga Dhidi ya Kuharisha kwa Watoto Kupitia Lishe
Kuharisha ni moja ya sababu kuu za vifo vya watoto chini ya miaka mitano nchini Tanzania. Lishe bora inaweza kusaidia kuzuia na pia...
ThriveCare Nutrition
Jul 301 min read
Hatua za Lishe za Kuzuia Kurudia kwa Kuharisha kwa Watoto
Baada ya mtoto kupona kuharisha, kuna hatari kubwa ya kurudia kwa maambukizi endapo hatua za lishe na usafi hazitazingatiwa. Hii blogu...
ThriveCare Nutrition
Jul 281 min read
Nafasi ya Mazoezi na Lishe katika Kuzuia Kuanguka kwa Wazee
Kwa wazee, kuanguka ni tatizo linaloweza kupelekea majeraha makubwa hasa kama wana osteoporosis. Mbali na lishe bora, mazoezi na mtindo...
ThriveCare Nutrition
Jul 251 min read
Chakula Bora kwa Wazee Wenye Osteoporosis
Baada ya kugundulika na osteoporosis , bado lishe inabaki kuwa tiba muhimu kusaidia kupunguza hatari ya kuvunjika kwa mifupa na kuboresha...
ThriveCare Nutrition
Jul 231 min read
Kupunguza Hatari ya Osteoporosis kwa Wazee Kupitia Lishe
Osteoporosis ni hali inayosababisha mifupa kuwa dhaifu na kuvunjika kwa urahisi, hasa kwa wazee. Lishe bora ni nguzo muhimu ya kuzuia na...
ThriveCare Nutrition
Jul 211 min read
Tiba Lishe kwa Wazee: Namna ya Kuimarisha Kinga na Nguvu Kipindi cha Baridi
Wazee mara nyingi hupatwa na baridi kwa haraka zaidi na kinga zao za mwili huwa dhaifu, hivyo lishe ni muhimu sana katika msimu huu....
ThriveCare Nutrition
Jul 181 min read
Uji wa Lishe kwa Watoto: Kinywaji Bora Kipindi cha Baridi
Uji wa lishe ni mlo bora sana kwa watoto wakati wa baridi kwani hutoa nishati na virutubisho vingi kwa wakati mmoja. Faida za uji wa...
ThriveCare Nutrition
Jul 161 min read
Lishe Inayosaidia Ngozi Kung'aa na Kuzuia Kukauka Kipindi cha Baridi
Baridi husababisha ngozi kukauka, kupasuka na hata kuwasha, hasa kwa watoto na wazee. Lishe bora ina mchango mkubwa katika kudumisha afya...
ThriveCare Nutrition
Jul 141 min read
Vidokezo vya Kupika Chakula Chenye Kuvutia Watoto Kipindi cha Baridi
Wazazi hukabiliana na changamoto ya watoto kuchoka kula milo ya kawaida kipindi cha baridi. Kubadili namna ya upikaji kunaweza kusaidia...
ThriveCare Nutrition
Jul 111 min read
Umuhimu wa Unywaji wa Maji Kipindi cha Baridi kwa Watoto na Wazee
Watu wengi husahau kunywa maji wakati wa baridi kwa sababu hawahisi kiu kama ilivyo kipindi cha joto. Hii inaweza kusababisha upungufu wa...
ThriveCare Nutrition
Jul 91 min read


Jinsi ya Kupambana na Kikohozi na Mafua kwa Watoto Kupitia Lishe
Msimu wa baridi huambatana na maambukizi ya mara kwa mara kama kikohozi, mafua na homa za kawaida kwa watoto. Ingawa si vyakula pekee...
ThriveCare Nutrition
Jul 71 min read


Umuhimu wa Mafuta Mazuri katika Kipindi cha Baridi kwa Watoto na Wazee
Mafuta hayapaswi kuogopwa – hasa katika msimu wa baridi ambapo mwili unahitaji nishati ya kutosha. Mafuta ya asili ni chanzo muhimu cha...
ThriveCare Nutrition
Jul 41 min read


Je, Watoto Wanaweza Kupoteza Hamu ya Kula Kipindi cha Baridi? Suluhisho la Lishe
Wazazi wengi hulalamikia watoto wao kukosa hamu ya kula wakati wa baridi. Hii ni kawaida, lakini ikiwa haitashughulikiwa, inaweza...
ThriveCare Nutrition
Jul 21 min read


Lishe Bora kwa Wazee Kipindi cha Baridi: Kuepuka Udhaifu na Magonjwa
Wazee huwa na mfumo wa kinga dhaifu zaidi, na wakati wa baridi wanaweza kupata changamoto zaidi za kiafya kama baridi kali, viungo kuuma,...
ThriveCare Nutrition
Jun 271 min read


Vinywaji vya Asili vya Kuupa Mwili Joto na Kuongeza Nguvu
Katika kipindi cha baridi, miili ya watoto na wazee huhitaji joto na nishati zaidi. Vinywaji vya asili vinaweza kusaidia kuongeza nguvu...
ThriveCare Nutrition
Jun 271 min read


Vyakula vya Asili Vinavyosaidia Kupambana na Mafua kwa Watoto na Wazee
Mafua ya mara kwa mara yanaweza kuathiri afya na ustawi wa watoto na wazee. Badala ya kutegemea dawa pekee, vyakula vya asili vinaweza...
ThriveCare Nutrition
Jun 251 min read


Jinsi ya Kuimarisha Kinga Wakati wa Kipindi cha Baridi
Kipindi cha baridi huambatana na ongezeko la magonjwa kama mafua, kikohozi na maambukizi ya njia ya hewa. Watoto na wazee wako katika...
ThriveCare Nutrition
Jun 231 min read


Vinywaji vya Asili vya Kusaidia Kuimarisha Afya ya Akili
Vinywaji vya asili vinaweza kusaidia kuboresha mood na kupunguza msongo wa mawazo. Vinywaji Bora vya Asili: Maji ya nazi: Hutoa madini...
ThriveCare Nutrition
May 301 min read


Matumizi ya Nafaka Asili (Kama Uwele, Mtama) katika Afya ya Akili
Nafaka asili ni hazina ya lishe inayosaidia pia afya ya akili. Faida za Nafaka Asili: Zinapunguza hatari ya msongo wa mawazo na huzuni....
ThriveCare Nutrition
May 281 min read


Kuhimiza Watoto na Wazee Kufurahia Mboga za Majani
Mboga za majani ni muhimu sana kwa afya, lakini mara nyingi si kipenzi cha watoto na hata wazee. Faida za Mboga za Majani: Zinatoa...
ThriveCare Nutrition
May 261 min read
bottom of page