Kuimarisha Lishe ya Watoto Walioko Shuleni: Mikakati Rahisi
- ThriveCare Nutrition
- May 23
- 1 min read
Watoto wanapokua wakikabiliana na masomo, lishe bora ni msingi wa mafanikio yao kitaaluma.
Umuhimu wa Lishe kwa Watoto wa Shule:
Huongeza uwezo wa kujifunza na kuzingatia.
Husaidia kudhibiti tabia na hisia.
Huimarisha kinga dhidi ya magonjwa.
Vyakula Muhimu kwa Watoto wa Shule:
Asubuhi: Uji wa lishe au mkate wa ngano nzima na mayai.
Chakula cha mchana: Wali/Ugali wa mbogamboga, nyama/maharagwe.
Vitafunwa: Matunda safi au karanga chache.
Mikakati Rahisi:
Panga menu ya wiki mapema.
Kwa shule zinazoruhusu kufungia watoto chakula , andaa chakula cha shule nyumbani inapowezekana na epuka vyakula vya kiwandani.
Kwa lishe bora, watoto hujenga msingi imara wa afya ya mwili na akili.
Comments